HATUPIMI BANDO

8 April 2015

JAMAA YETU YAMEMKUTA MAKUBWA WALAHI

YAMEMKUTA jamaa yangu wa karibu sana, hana raha kabisaa. Ile methali ya kusema usilolijua halikusumbui, ndugu yangu kaigundua kuwa ni ya kweli. Mimi kwa kweli namuonea huruma. Naomba na wengine mtakayoisikia jifunzeni kutokupekua mambo yaliyopita, au kuuliza maswali magumu unaweza kupata majibu magumu. Sasa angalia jamaa yangu yuko hapa kwangu analia kakonda kwa muda wa nusu siku tu na hajui maisha yataendeleaje.........INAENDELEA HUKU

No comments: