HATUPIMI BANDO

20 March 2015

HUO UKOROFI SASA

Jamaa alikuwa akitoka ulevini usiku akaamua kukatisha katikati ya makaburi. Alipofika katikati akashangaa kukuta maiti wako bizi na biashara mbalimbali kama sokoni vile, pombe zote zilimtoka, akatoka mbio mpaka nyumba moja iliyokuwa jirani na makaburini akagonga hodi kwa nguvu mlango ukafunguliwa;
JAMAA: Nisaidie nimepita makaburini nimekuta watu wamefufuka wanafanya biashara
MWENYENYUMBA: Duh we mkorofi sana umepita makaburini saa hizi? Hata mimi kabla sijafa nilikuwa sina jeuri ya kupita makaburini usiku

No comments: