NI SHEEEDAHHH PENZI LA SUPASTA NANIHII LAMKIMBIZA BOSI WETU KAAMUA KURUDI KIJIJINI

BOSI KAAMUA KUHAMA MJI ANARUDI KIJIJINI, KUKOSA PENZI LA SUPASTA KUMEMCHANGANYA, KAMA UNAVYOONA HAPO JUU KAKODI BODABODA, GUTA BAISKELI, KUJIMUVUZISHA KWENDA KWAO. KWA HIYO INGIA HUKU CHEKANAKITIME NDIO ALIKOHAMIA SASA NI SHEEEDAHHHH, YAANI HAPA NI KARIBU YA KIJIJI CHA TANANGOZI. OF KOZ HUKO KIJIJINI MAISHA BORA ZAIDI NA MAMBO MENGI YAKUFURAHISHA, ULANZI, KOMONI, WANZUKI, KIMPUMU, MNAZI, MANGURE, KANGARA, PINGU, FISI,MAMBO MSWANO SANA KARIBU SANA

3 comments:

kiezera Alfred said...

Teh....sasa akifika makabur ya kiyeyeu hilo guta silitamuangusha!!?

kiezera Alfred said...

Jamaniii. Asogwe kugaala!!!

Anonymous said...

Ale nzao!!!

Post Top Ad

Powered by Blogger.