HATUPIMI BANDO

31 July 2014

BLOGU YENU YATOA TUZO LA NANILI LA DHAHABU KWA FALA WA MWEZI ..KUWA WA KWANZA KUONA VIDEO

Tuzo la Nanili la dhahabu
 Pokea tuzo hii dreva wetu Mungu akusaidie akupe akili .
Blogu yenu makini imeona impe tuzo ya Nanihii la Dhahabu dreva huyu aliyekuwa akiendesha gari huku anajirekodi alioona ujanja. Kwa barabara zetu hizi huyu alikuwa anahatarisha maisha ya watu wengine kwa ufala wake huu.

1 comment:

Anonymous said...

asee admin huyumjama nadhan namjua, kama nlisoma nase primary school hivi. kama unacontacts zake naziomba unitumie kwenye email yangu bhantuman@gmail.com