PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

UNA MIAKA MINGAPI?

MKAKA:Una miaka mingapi?
MDADA: 20
MKAKA: He  hebu ngoja kwanza we mwaka juzi si ulisema una miaka 20
MDADA: Bwanae eeh unajua mie sio kigeugeu, sibadilishagi majibu bila sababu

Comments