HATUPIMI BANDO

27 May 2014

NIMEOTA UMENINUNULIA GARI

MKE: Bebi nilipolala si nimeota umeninunulia Verosa
MUME: Lala tena ukaote unaliendesha verosa lako

No comments: