HATUPIMI BANDO

8 May 2014

MI NILIJUA TUNAONGELEA MKEO

Walevi wanne walikuwa wakigida ulabu, baada ya kukolea mazungumzo yao  akaanza;
MLEVI 1: Mi mke wangu nalala nae mara 1 kwa wiki
MLEVI 2: Mi mara tatu
MLEVI 3: Mi mara mbili
MLEVI 4: Mi mara 4 kwa wiki
MLEVI 1: Sasa we unaongea nini? Kwanza hujaoa unaongelea mke gani?
MLEVI 4: Mi si nilijua tunaongelea mke wako

No comments: