PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

HEE DUH NILIDHANI ANAMUOMBA MUNGU

Nilijibanza mahala leo nikiwa nakimbia mvua. Ghafla nikasikia mdada akiomba vitu kadhaa nikajua atakuwa anasali anamuomba Mungu. Cha ajabu hatimae nikasikia "Ok baby mwah I love you. Navisubiri". Kumbe alikuwa akiongea na buzi. Maana ilikuwa kali, naomba school fees za mdogo wangu nisaidie nipate gari kama la Wema, naomba unipe mtaji nataka kwenda China, nisaidie na matibabu ya shangazi anatakiwa kwenda India.

Comments

abuu said…
hahaha nomaaa sana nimecheka