HATUPIMI BANDO

3 April 2014

MUNGU KISHACHUKUA ALFU YAKE

GULO: Kama nikiokota shilingi alfu mbili, naapa nitaitoa shilingi alfu moja kama sadaka kwa Mungu.
FULO: Usisahau ahadi yako Mungu si wa kutania
GULO: Mi siwekaki ahadi za uongo, hee nini kile? Mungu wangu nimeokota shilingi alfu moja. Alafu Mungu wa ajabu si tayari ameshachukua alfu yake

No comments: