UNAJUA CHANZO CHA UBAGUZI WA RANGI....KUWA WA KWANZA KUELEWA UTAFITI HUU MPYA

Blogu yenu mzigo iliona ifanye kile wasomi wanaita 'Investigative reporting' yaani kufanya utafiti wa makini wa standard and speed ili kupata ukweli uliofichika katika jambo fulani muhimu katika jamii. Swala ambalo viongozi wa blog hii walitaka kujua ni nini chanzo cha ubaguzi wa rangi? Kwanini weupe waliwachukia sana watu weusi. Ililazimika timu yetu kali ijichimbie katika maktaba mbalimbali hapa duniani hatimae ushahidi wa wazi umepatikana na tungependa nyinyi wasomaji watukufu wa blog hii muwa wa kwanza kuupata ushahidi huu usio na doa, ukionyesha kwanini jamaa walikuwa hawatupendi kabisa. Ushahidi huu utabadili kabisa vitabu vya historia na utaweza kutoa majibu hata leo kwanini Museveni anaandamwa sana, kumbe ishu bado iko palepale....
USHAHIDI NI HUU, TATIZO MVUTO WA MAUMBILE

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.