HATUPIMI BANDO

2 March 2014

UKIPATA NITUMIE KWA MPESA

Mambo yanaenda kidijitali, leo pale Posta mpya nimekuta ombaomba mmoja nikachoka,
Ombaomba: Saidia masikini
Mimi:Samahani sina kitu saa hizi
Ombaomba: Basi chukua namba yangu ukipata utanitumia kwa M-pesa

No comments: