NANI KAWAMBIA HAPA NDIO MAKABURINI?


MAFISADI BWANA,
1) Wakishaiba mkwanja wanaenda kuuficha Uswisi
2) Wakiumwa wanaenda matibabu Ujerumani
3) Likizo wanaenda Marekani.
4) Mahekalu wananunua  London.
5) Shopping wanaenda Dubai.
6) Watoto wao wanasoma Ulaya
7) Wakifa wanakuja kuzikwa Bongo…Aloo hivi nani kawambia hapa ndio makaburini? Pambafu

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.