PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KWA UMBEYA WAKO JE, UNGEFANYA NINI?

Uko kwenye daladala umekaa kiti kimoja na mama mmoja mzuri sana. Anatoa simu yake anaanza kuandika mesej, kwa umbeya wako unachungulia anaandika nini. Unagundua kaandika hivi, "Hanii mume wangu kasafiri kaenda China anarudi baada ya wiki mbili, njoo nyumbani jioni, tujipe raha ya kufa mtu kama kawa, nakukumbuka sana mambo yako" 
Sasa basi kwa umbeya wako je, ungefanya nini?
1. Ungemezea na kuendelea na mambo yako?
2. Ungemfuatilia  na kushuka anaposhuka mpaka upajue kwake kisha umtafute mumewe umtaarifu?
 3. Ungeitarifu  polisi?
4. Ungetangaza kwenye daladala lote?
5. Ungeanza kumhoji kuhusu hilo?
6. Ungemtukana kwa kukosa maadili?
7. Ungemuomba namba yake?

Comments