HATUPIMI BANDO

6 March 2014

BREEEEEEEAKING NYEEEEEEEEEEUSI BUNGE LA NCHI JIRANI KUREKIBISHA SHERIA YA MATUMIZI YA DAWA

Kasheshe kubwa katika nchi jirani, Bunge la wenzetu jirani litatakiwa kukaa haraka kutoa tamko kuhusu matumizi ya vidonge flani.
Kuna aina ya vidonge kama vilivyo pichani ghafla vimegeuka mali adimu nchi jirani ambako sheria za kupiga marufuku watu wasiojielewa jinsia imeanza kutekelezwa. Ghafla hospitali zimekuwa zikifurika wagonjwa walioonekana wakidai wanamagonjwa kama kufunga choo na kudai dozi kubwa ya vidonge hivi. Malori kadhaa ya vidonge hivi yameonekana na blog hii yakielekea nchi hiyo ambapo kuna jamaa mmoja alidai huwa anatumia hadi vidonge 12 kwa siku toka sheria hiyo kali kuanza kutumika.
BLOG HII IMETUMA WACHUNGUZI WAKE KUFUATILIA HABARI HII KALI. MTUSUBIRI HAPAHAPA MPAKA TURUDI

No comments: