HATUPIMI BANDO

5 March 2014

BOSI WAKO TAAHIRA

Kijana kaajiriwa kuuza duka, bosi wake akamwacha anaendelea na shughuli, masaa machache baadae  bosi akarudi akamkuta kijana anabishana vikali na mteja. Bosi akafika na kuanza kumtukana yule kijana;
BOSI: Wewe pumbavu vipi? katika biashara mteja ni mfalme, acha upumbavu wa kubishana na mteja atakachosema mteja ndicho hakuna vingine na uelewe hilo kuanzia leo. Haya mnabishana nini hapa?
KIJANA: Bosi huyu mteja alikuja hapa akaanza kunambia Bosi wako taahira

No comments: