HATUPIMI BANDO

2 March 2014

BEBI FAMILIA YANGU YOTE WANAPINGA NISIKUOE

ANKO: Bebi itakuwa ngumu mimi kukuoa, familia yangu yote inapinga
ANTII: Yaani mwanaume mzima unakatiliwa kuoa na familia yako na unashindwa kujitetea. Ina maana hunipendi
ANKO: Nakupenda sana bebi
ANTII: Nani hasa kwenye familia yako anayeweka vikwazo nikajaribu kumuona
ANKO: Mke wangu na watoto wetu wote tisa

No comments: