HATUPIMI BANDO

4 February 2014

SIJUI KAMA JINO BADO LINAUMA


GULO: Nilikuwa naumwa jino nikaenda kung'oa
FULO: Pole shosti vipi sasa bado linauma?
GULO: Mhhh sijui maana nilipoling'oa limebaki kulekule hospitali

No comments: