PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BREAKING NYEUSSSSSSSSSI...BLOG HII MZIGO YAPONGEZWA NA MAELFU

MAELFU YA WNANCHI WAMETUMA E MAIL ZA PONGEZI KWA BLOG HII KWA KUGHARAMIA KUFUNGA KATIKA VITUO VYOTE VYA BODABODA MASHINE ZITAKAYOWEZESHA  KUPIMIA KIWANGO CHA UJINGA KATIKA SEKTA YA UENDESHA BODABODA.HII ITASAIDIA KUWA NA TAKWIMU YA KIWANGO CHA UJINGA NA ITASAIDIA KATIKA KUTAFUTA MBINU ZA KUPUNGUZA AJALI. PIA WANANCHI WENGI WAMETAKA MASHINE ZIFUNGWE KWENYE KAMPUNI FULANI ZA MAWASILIANO ILI ZIPIMWE KUANZIA KAMPUNI ZENYEWE NA WATUMISHI WAKE WOTE, WALE WA KASTAMA SEVIS YA KAMPUNI HIYO WATAPIMWA MARA MBILIMBILI KUJUA KWANINI HUWA HAWAPOKEI SIMU ZINAZOITA MBELE YAO, WAKATI WAMEAJIRIWA KUPOKEA SIMU. KISHA KUTAKUWEKO NA MPANGO WA KUHAMIA KATIKA WIZARA MBALIMBALI HAPA KUTOKANA NA KUZUIA TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA SITATAJA HIZO IDARA.  KWA SABABU ZA KIMSINGI MASHINE MBILI ZITAKUWA DODOMA KATIKA KIPINDI CHA BUNGE KWA AJILI YA MATUMIZI YA KAWAIDA.

Comments