BREAKING NYEUSSSSSSIII MAANDAMANO MAKUBWA YANAENDELEA YA KUPINGA......

Maandamano makubwa yanaendelea katika sehemu mbalimbali dunia ikiwemo Albania na Misri, na sehemu nyingine za Iringa vijijini, Dar es Salaam vijijini, na hata New York vijijini, maelfu ya watu wanadai kuwa blog hii ifungwe kwa sababu ni mzigo. Blog hii haionyesho picha za wadada hawana nguo wala watu waliokufa, sasa inatafuta nini? Mmisri mmoja alitamka maneno haya kwa nguvu mbele ya  Kofi Yanani alisema hivi tunamnukuu,'
Blogu mzigoooooo  
هذا بلوق
هو الحمل الثقيل

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.