BREAKING NYEUSSSIIIIIIII...ANAEILOGA BLOGU YETU AKAMATWA

KWA MUDA MREFU WAHARIRI WA BLOG HII WALIKUWA WAKIJIKUTA WANAONA UVIVU KWENDA KAZINI, HELA ZINAWAISHIA KABLA YA KUNUNUA KITU, MAKAMPUNI KUGOMA KUWEKA MATANGAZO KWEYE BLOG, WAHARIRI KUKOSA KABISA KUPATA MADEMU WA BONGOMUVI, NA MATATIZO MENGINE KAMA YALE, IKALAZIMIKA KUTAFUTA NANI ANATULOGA. BAADA YA KUPIGA RAMLI KUMBE MLINZI WETU NDIE MCHAWI MWENYEWE, HIVYO TUMEMPELEKA KWA MGANGA KUONDOA UCHAWI NA YEYE MWENYEWE KUKIRI KATIKA LUGHA YA KIKWAO KUWA HARUDII TENA

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.