PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

UNAJUA NGUMI ZILIANZIA WAPI?

Mke: Mume wangu hivi nikifa utaoa tena?
Mume: Hapana
Mke: Kwanini? Hutaki ndoa?
Mume: Basi tu sitaki tena ndoa
Mke: Kwa hiyo hata sasa hutaki ndoa?
Mume: Nataka
Mke: Kwa hiyo kwanini usioe?
Mume: Haya labda ukipita muda ntaoa
Mke: Mtaishi nyumba hii hii?
Mume: Ndio sidhani kama ntahama
Mke: Mtatumia sahani na vikombe vyangu
Mume: Ehh nadhani
Mke: Atalala kwenye kitanda changu?
Mume: Ndio
Mke: Atavaa viatu vyangu?
Mume: Hapana, vyako vikubwa ye anavaa namba 6
HAPO NDIPO NGUMI ZILIPOANZA

Comments