SIKU SIAFU WALIPOTAKA KUMFANYIZIA TEMBO KITU MBAYA

Siafu wanne walikuwa katika matembezi wakakutana na tembo;
SIAFU 1: Tumuuwe
SIAFU 2: Hapana tumvunje miguu tu
SIAFU 3: Tumsukume pembeni atupishe tupite
SIAFU 4:Hapana tumwache tutakuwa tunamuonea sisi tuko wanne ye yuko peke yake, ITAKUWA DHAMBI

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.