HATUPIMI BANDO

29 December 2013

SIAFU NA MIMBA YA TEMBO LIVE............ KUWA WA KWANZA KUSOMA

Tembo na siafu walikuwa wanapendana sana. Wazazi wa siafu walipokuja gundua wakaja juu na kumwambia binti yao lazima aachane na tembo kwanza sio kabila lao. Binti yao akawaambia kuwa hawezi kumuuacha tembo hata iweje, anampenda sana na kwa taarifa ana mimba ya tembo ya miezi mitatu.

No comments: