PICHA YA HARUSI YA WIKI

Enzi hizo picha ya harusi ilikuwa ikipigiwa kwenye mlango wa kanisa, baadae ikawa studio. Kwa wale wa Dar ikawa staili lazima upige ufukweni. Sasa hii mpya igeni maana ndio zenu wabongo.

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.