PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NIPENI KURA NIWARUHUSU KUUZA GONGO

Mzee mmoja hivi kasema mkimpa kura akawa Prezda, ataruhusu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo, maana kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho na kuwafanya vitega uchumi vyao.

Comments