PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NIMEKUTUMIA LAKI MBILI KWENYE TIGO PESA

Wamekutana kituo cha basi;
MKAKA: Mambo sista
MDADA: Poa
MKAKA: Niwe mkweli umenivutia nimeshindwa kujizuia
MDADA: Kweliee asante
MKAKA: Naomba namba yako ya simu tuendelee kuwasiliana
MDADA: (anawaza, huyu jamaa chizi nini? Nimpe namba yangu kirahisi tu, ngoja nimdanganye.) Eh haya ni 0713 27...........7
MKAKA: Aksante ntakutext jioni
MDADA: Karibu. (Baada ya wiki wakakutana tena kituoni)
MKAKA: Mambo?
MDADA: Poa
MKAKA: Nilikutumia laki mbili kwa tigo pesa, ulipata, maana hata hukunitaarifu
MDADA: He jamani kumbe ulikuwa siriaz? Mbona hukunambia kuwa uko siriaz dah kwanini umenifanyia hivi?

Comments