MI NAACHA SHULE, WALIMU HAWAJUI CHOCHOTE

GULO: Mi naacha shule.
FULO: Kwanini?
GULO: Waalimu wajinga kweli umesikia mwalimu wa jografi kasema nini leo?
FULO: Kwani kasemaje?
GULO: Eti kasema jua ni nyota mojawapo

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.