PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MAPENZI KWA HISANI YA WHATSAPP TEH TEH TEH


MKAKA: Hello Babe.... (11:45pm)

MDADA: (last seen at 11:46pm)

MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm)

MDADA: (last seen at 11:52pm)

MKAKA: Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am)

MDADA: (last seen at 00:01am)

MKAKA: Ok usiku mwema baby, nilitaka kukwambia tu kuwa zile pesa nilizokwambia  nilikuwa nadai nimepata. Nimeweka pembeni laki tano kwa ajili ya shopping yako ya Krismas, naona hujibu kwa hiyo bye baby…… (00:01 am)

MDADA: (typing): Ohh! Hi dear... Actually  nilikuwa na mom nikawa nashindwa kukujibu ... wow darling najua roho yako sasa imetulia umelipwa deni lako.. I love you a lot... Unataka twende shopping saa ngapi? (00:05am)

MKAKA: (last seen 00:06am)

MDADA: Baby nijibu basi, nijibu nijue muda gani nijitayarishe, nijibu betry yangu inaisha chaji baby, nijibu sasa hivi (00:08am)

MKAKA: (last seen 00:09am)

MDADA: Naweka simu kwenye chaji dakika mbili baby (00:10am)

MKAKA: (last seen 00:12am)

MDADA: Babes, najua nilikwambia usiwe unanipigia simu baada ya saa mbili usiku, lakini piga tu mom ameshalala (00:25)

MDADA: (typing): Ok, najua umelala ntakupigia asubuhi. Na kesho kama unaweza kuja njoo tu mom anaenda kumtembelea rafiki yake mi ntakuwa alone siku nzima G9t baby miss you (00:30am)

MKAKA: (last seen 00:32)

Comments