PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

INAONEKANA WATANZANIA MNAPENDA SANA TEMBO WENU

Askari wa wanyama pori alikutwa na watalii katikati ya mbuga za wanyama analia;
MTALII: Mbona unalia
ASKARI: Tembo kafa
MTALII: Hee ndio unalia hivi? Inaonekana Watanzania mnapenda sana tembo wenu.
ASKARI: Hapana wamenipa kazi ya kumchimbia kaburi na kumzika

Comments