PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

CHUKUA FURSA TWENZETU YAINGIA SAUZAFRIKA


Ile kampeni ya Kamata fulsa Twenzetu ni wazi imeeleweka mpaka Sauzi,  kijana Thami Jantjie ameweza kuchukua fursa ya kuwa mkalimani ya lugha ya viziwi kwenye mkusanyiko wa Kimataifa wa kumuaga Babu Madiba, na kuanza
Mkalimani Feki
kuzungusha mikono hewani kama vile anatafsiri kumbe hakuna lolote. Of koz wako wengi sana kama yeye maana kuna ofisi nyingine hapa Bongo ukiingia utakuta wako biziiii kumbe wanafanya Thami style, mtu kukupa fomu tu za kujaza inakuwa masaa mawili kumbe hajui hata fomu gani unatakiwa uchukue…………….hebu sikiliza hapa tafsiri halisi ya alichokuwa akionyesha huyu mjasilia mali aliyechukua fursa

Comments