PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BAHATI YAKO ANGEKUNG'OA MENO

Baba mmoja alikuwa bahili sana;
BINTI: Mama nimemuomba baba hela ya kusuka kaninyoa nywele
MAMA: Ninavyomjua baba yako alivyobahili, ungemuomba hela ya kununua mswaki angekung'oa meno

Comments