AISE MI MGENI NIMEZIKWA JANA TU

Polisi katika doria wakamkurupusha mwizi wakafukuzana nae akaingiaeneo la makaburi , kufika huko akavua nguo akakaa juu ya kaburi, polisi wakaja wakamkuta hivyo; POLISI: Aise umemuona mtu kapita hapa anakimbia ni mwizi tunamsaka
JAMAA: Aise mi mgeni nimezikwa jana tu, hivi nipo hapa juu ya kaburi langu napunga upepo ndani huko joto sana, nimetoka humo ndani sasa hivi, labda muwaulize hayo makaburi hapo mbele....polisi hawakusubiri amalize walikuwa wote wameingia mitini

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.