PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

YAANI BINTI YANGU NI MSICHANA

Wababa watatu wamekutana bar, baada ya bia kadhaa si wakaanza kuongea kuhusu binti zao, BABA 1: Kuna siku niliingia chumba cha binti yangu nikashanga kukuta kichungi cha sigara wakati najua binti yangu havuti
BABA 2
: Mi nilikuta chupa tupu ya bia wakati najua binti yangu hanywi
BABA 3: Hayo yote tisa, stori yangu ndo ya ajabu sana, mi niliingia chumba cha binti yangu si nikakuta kondom ya kiume wakati yeye mwanamke

Comments