HATUPIMI BANDO

1 October 2013

WE ARE HANDSING UP

Mwalimu wa shule ya msingi alisikia Mkaguzi wa shule anakuja, basi akawatayarisha wanafunzi wake chapchap. Mkaguzi alipofika akawajaribu watoto kama wanaelewa kiingereza;
Mkaguzi: Stand Up, what are you doing?
Wanafunzi: We are standing up
Mkaguzi: Sit down, what are you doing?
Wanafunzi: We are sitting down. Mkaguzi akashtuka kuwa hawa wamekaririshwa tu;
Mkaguzi: Hands up, what are you doing?
Wanafunzi: We are handsing up

No comments: