PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

RATIBA YA KUZEEKA

UZEE HUJA TARATIBU, KWANZA HUANZA KUSAHAU MAJINA, MPAKA MTU AKUKUMBUSHE SANA NA KUWATAJA WATU WENGINE WALIOKUWEKO NDIO UNAKUMBUKA, KISHA UNAANZA KUSAHAU SURA, HATA MWANAO UNAWEZA KUMSAHAU, UKIVUKA KIPINDI HIKI UNAJIKUTA MARA NYINGI UNAANZA KUSAHAU KUFUNGA ZIPU UKITOKA CHOONI, HILI SOMO HUENDELEA NA HUKAMILIKA PALE UNAPOANZA KUSAHAU KUFUNGUA ZIPU WAKATI UKIENDA CHOONI BAADA YA HAPA UNAANZA KUSAHAU KABISA KWENDA CHOONI, NA WAKATI HUU NDUGU WOTE HUKUKIMBIA LABDA KAMA ULITENGENEZA PESA NYINGI, WATABAKI WANAJIPENDEKEZA WAKINGOJA URITHI......

Comments