HATUPIMI BANDO

4 October 2013

MI SINA BAHATI KAMA MKE WANGU

Walevi watatu walikutana baa;
Mlevi 1: Hii baa nzuri lakini sio kama ya mtaani kwetu. Pale kwetu kuna baa ya Kimaro ukinunua chupa mbili , Kimaro mwenyewe anakunulia moja nyingine
MLEVI 2: Mtaani kwetu kuna baa ya Mnyalu, hapo ukinunua moja na Mnyalu anakunulia ya pili
MLEVI 3: Mtaani kwetu ndio kiboko, kuna baa ya Mzee Komba ukifika akikuchagua, anakununulia bia mpaka ulewe kisha anakupeleka kwenye gesti yake anakupa mtu wa kulala nae
MLEVI 1: Hapo kiboko, we umeshawahi kuchaguliwa?
MLEVI 3: Bado mi sina bahati sana, lakini mke wangu kisha chaguliwa mara 2 wiki hii peke yake.

No comments: