PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KATI YA MAMA NA BABA NANI MWOGA ZAIDI?

Mtu na mkewe walikuwa wakitaniana na kubishana nani mwoga zaidi, ubishi ulivyozidi wakaamua kuwauliza watoto wao, 
Baba: Nyie nani mwoga zaidi kati yetu?
Mtoto wa Kwanza: Mi naona baba mwoga zaidi, tukienda mjini akiona mwanamke anamfungia jicho moja anaogopa kumwangalia na macho yote
Mke: Kumbe ndivyo ulivyo mshenzi mkubwa we
Mtoto wa pili
: Mama ndio mwoga zaidi, anaogopa kulala peke yake, baba akisafiri analala na anko Stiv, kama anko hakuja analala na kaka wa kazi.........(hapo ndipo Valangati likaanza!@#$%^&*)

Comments