HATUPIMI BANDO

3 October 2013

ENEO LINAUZWA KIMARA MWISHO.........................

Eneo linauzwa lenye ukubwa wa eka moja lina bar kubwa ya makuti na servant quaters ya kuishi wafanyakazi na ina msingi tayari wa nyumba kubwa.  Gari inafika ni mita mia 200 kutoka Morogoro road. Eneo liko Kimara mwisho kwa maelezo zaidi piga simu 0784111915,,,0715224284,,,
0767582078.No comments: