HATUPIMI BANDO

18 September 2013

WOTE WAWILI WANASEMA WAO BABA ZANGU

DOGO kamkimbilia polisi
DOGO: Afande polisi samahani naomba uje uamulie, baba yangu yuko kule bar anapigana. Afande akamfuata Dogo mpaka kwenye bar na kukuta kuna njemba mbili zinadundana kishenzi
AFANDE: Dogo sasa baba yako ni yupi kati ya wale?
DOGO: Hata mi sijui wote wawili wanasema mi mtoto wao ndio maana wanapigana

No comments: