PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAUFUNGA MDOMOWANGU

NAUFUNGA MDOMOWANGU
NAUFUNGA MDOMO WANGU

VICHWA VYA HABARI-SERENA WILLIAMS ABEBA NDOO

 KUMBE matatizo ya maji si Tanzania peke yake, waandishi wa gazeti moja mashuhuri wamemkuta Serena akiwa kabeba ndoo akielekea kwenye bafu baada ya kutoka kwenye mchezo wake wa tennis. Bado blog hii inamtafuta huyu mwandishi aapie kama kweli alimuona huyu mdada kabeba ndoo.

 haya ni mapinduzi makubwa, baada ya binadamu kujiona wanahaki ya kula kuku na mayai, hatimae kuku wamekuja juu  shauri zenu...

 Bado blog hii inajiuliza walitumia mafuta gani? na hiyo flanpen ilikuwa na ukubwa gani? mara tutakapopata jibu tutawaita nyinyi wote hapahapa tuwataarifu kuhusu uchunguzi huo

Haya tena kazi imeanza tutakuwa na National Form IV, V na sasa National STD II examinations

Comments