PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAUFUNGA MDOMOWANGU

NAUFUNGA MDOMOWANGU
NAUFUNGA MDOMO WANGU

UCHAMBUZI MBUZI WA VICHWA VYA MAGAZETI

Wadau wahariri wa hii blog mbuzi wamechanganyikiwa eti hili gazeti ni la tarehe ngapi vile?
 
 Hatukubali kuletewa harufu mbaya hapa, akapumulie vibaya kwingine pliz, wanaohusika na mazingira msiseme hamakutaarifiwa na vyombo vyetu kuwa kuna mtu anataka kuja kuchafua hewa.

 Siku hizi kwa vile hata walume wanansuka hii haisumbui


 Atamuua mwenzie jamani amulieni ohoooo

Tafsiri kwa Kiingereza habari hiyo hapo juu.

Comments