HATUPIMI BANDO

3 September 2013

TOKA MAGAZETINI FOORISH AGE

Nyumba ndogo ya Mhariri Mkuu leo eti nae kajitia kuchambua magazeti akatuletea kipande cha gazeti sijui kakipata wapi sijui kasema tuangalie .
Huyu demu wa bosi bwana anauliza eti kulikuwa na iventi ya uzinduzi wa FOORISH AGE? Halafu alivyo mbeya, mtu mwenyewe anatoka Songea anauliza pale No.3 RED CARPERTY ndio wapi? Umbeya una mzidi anatuuliza kama tunamfahamu WOLPHER......huyu mama anatafuta kiki tu hana ishu yoyote

No comments: