PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAUFUNGA MDOMOWANGU

NAUFUNGA MDOMOWANGU
NAUFUNGA MDOMO WANGU

MWANANGU MIMI SI BABA YAKO MI NI MAMAKO!!!!!!?????

Mdada  kaanza urafiki na daktari haukupita muda kapata mimba, wakaanza kuhaha, kutoa hawataki lakini kulea wanajua itawaletea kasheshe. Siku mdada kaenda kaenda hospitali kujifungua ikawa bahati siku hiyohiyo shoga mmoja akawa kaja kwa daktari afanyiwe operesheni ya kibofu. Daktari akapata wazo, akamwambia mdada, 'We ukijifungua nipe mtoto na mimi ntamdanganya huyu shoga kuwa tulipomfanyia operesheni ya kibofu tumekuta ana mimba na ntamkumkabidhi mtoto wake'. Mdada akakubali, kweli shoga alipoamka baada ya operesheni ya kibofu akakabidhiwa mtoto. Daktari akamwambia, 'Aise hili jambo hata mie limenishangaza sana, nimekufanyia operesheni nimekuta kumbe ulikuwa na mimba na mwanao ndio huyu'. Shoga akakubali na kuondoka hatimae na mwanae. 
Miaka kumi na tano baadae shoga akaona heri amwambie mwanae ukweli maana kwa wakati huo alikuwa kishakuwa mkubwa. Shoga akaanza,'Mwanangu kuna jambo naona leo nikwambie, kiukweli mi sio baba yako. Mi ni mama yako nilikuzaa kwa operesheni, babako alikuwa jamaa mmoja tulikuwa tunaishi nae mtaa mmoja zamani kule Magomeni'

Comments