HATUPIMI BANDO

1 September 2013

MWALIMU UKO UPANDE GANI?


Mwalimu wa chekechea: Alex simba akianza kukufukuza utafanya nini?
Alex: Nitapanda mti
Mwalimu: Je ana simba nae akipanda mti?
Alex: ntakimbilia mtoni niogelee
Mwalimu: Je, simba nae akikufwata mtoni?
Alex: Mwalimu uko upande wangu au wa simba?

No comments: