HATUPIMI BANDO

1 September 2013

MUME WANGU ATAKUWEKO

Mmama mja mzito kenda kwa mtabiri akaangalie maisha yanaelekea wapi.
MTABIRI: Mama hapa naona kwenye kioo mambo mazito, kuna wingu zito
MMAMA: Nambie kuna nini?
MTABIRI: Utakapojifungua tu, baba ya huyo mtoto atafariki katika ajali
MMAMA: Dah lakini si kitu mume wangu si atakuweko

No comments: