PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MTOTO WE WAMOTO

DOKTA: Dah binti we wamoto sana
MDADA: Ndio wanaume wote wananiambiaga hivyohivyo teh teh teh
DOKTA: Nina maana una joto jingi nadhani una malaria hayo mengine hayanihusu pambafu

Comments