PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MIMI TU NAWEZA KUSOMA

DOGO: Mama kuna kitu mi naweza peke yangu, shuleni hata mwalimu hawezi
MAMA: Heee waooo Dogo kitu gani hicho mwanangu?
DOGO: Mi nikiandika mwandiko wangu mgumu mimi tu naweza kusoma

Comments