HATUPIMI BANDO

8 September 2013

MAUMIVU YA KICHWA HUJA POLEPOLE

DOGO: Mama mama, dada alitaka kumuua baba
MAMA: Na wewe Dogo kwa maneno, dada atamuuwaje baba?
DOGO: Wakati we haupo baba akaja wakaenda chumbani na dada wakafunga mlango, ndio nikasikia baba analia anasema, Dada unaniuwa dada unaniuwa, ndio dada akasema nakuja, halafu baba ndio akatoka akasema anaenda kazini

No comments: