PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KUNA MSIBA WA KALA SINGA LEO

Singasinga alikuwa fundi seremala mzuri sana, akaajiri kijana mpya wa kazi, akamwita amsaidie kupigilia msumari kwenye ubao;
SINGA: Hanee ve senzi leta jundo. Kijana akaleta nyundo;
SINGA: Sasa anglia mi nasikilia sumari hapa, vee chukua jundo kama mi natikisa kichwa vee piga juu yake nasikia?
JAMAA: Nimesikia
SINGA: Haya piga, (kisha Singa akatikisa kichwa.......Kijana akashusha nyundo juu ya kichwa cha Kalasinga.  Kuna msiba wa Singa singa leo)

Comments