PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAUFUNGA MDOMOWANGU

NAUFUNGA MDOMOWANGU
NAUFUNGA MDOMO WANGU

AKISABABISHA AJALI BAMIZA SIMU YAKE CHINI

Ushawakuta wale wajamaa wanaotumaga mesej huku wanaendesha magari? Basi hawa mbulula hawako huku tu, cheki video ya mbulula aliyesababisha ajali kutokana na Samsung Galaxy yake.
Utata ninao jiuliza ni kuwa mbongo hata kama kasababisha ajali kwa simu yake, ukimnyang'anya simu yake ukaibamiza chini, nini kitafuata?

Comments